Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hebu vaa kwanza ndio ntasema,.sema mwenyewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu vaa kwanza ndio ntasema,.sema mwenyewe...
Ee bebii,.Aaanhaa, kumbe kuvaa kama shabiki tu
Nini waguna?Mmmh!
umeipenda hiyo jersey?Nini waguna?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We uyo ndugu yako we mwache tuu kuna muda hata mm napata sintofahamu[emoji28]
Sanaumeipenda hiyo jersey?
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikiinunua...Hebu vaa kwanza ndio ntasema,.
Go away bro [emoji23]sijaona uzuri wake ss, kuna jezi fulani za ghana atleast zile zilikua bomba sana....hizi hamna kitu.
Mmh hayaSana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh! mnanisema ss eeh...[emoji20][emoji20]
[emoji41][emoji41][emoji41] jersey zenu hizo mtavaa wenyeweeGo away bro [emoji23]
[emoji124]
kazungumzeni nyumbani ss[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mazungumzo ya kifamilia haya ndugu tunazungumza
Aisee mm siwezi kuvaa hata nyumbani...
Afu ktk jezi ambazo sijazikubali hii ni mojawapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji41][emoji41][emoji41] jersey zenu hizo mtavaa wenyewee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem stakki kucheka mm bhana jioni hii aah[emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mi ana nishinda kwa kweli
Baada ya kuwezea kwenye kukuchagua wewe tuu
Sasa machagulio yake yamekuwa ni hafifu
hahaha kabisa chiefKwangu mimi hata chooni siendi nazo..mwanaume mzima unavaa nguo za mauwa