Jezi za Nigeria zatajwa kuwa ni nzuri kuliko zote kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, nchini Russia

Jezi za Nigeria zatajwa kuwa ni nzuri kuliko zote kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, nchini Russia

Mleta Uzi ningekukubali kama unge upload picha za jez zote zinazoshiriki kombe la dunia ili na Mimi nipate freedom ya kuchagua jezi yangu Kali. Kwa hiyo ya Nigeria cjaikubali naona ni mapicha picha tu ya draft
 
Jezi gani hizi mbovu hivi?? Zinazidiwa na jezi za mabingwa wa nchi Simba sports club,

Jezi zenye ukijani kijani hunivalishi hata kwa bunduki!
 
Designer wa jezi ya Kikosi cha Nigeria anastahili pongezi.

Inaitwa kufanikiwa kwa dhima ya muandishi.
 
Yeah ni bonge ya jezi aiseee lkn pia na hizi kampuni ziache kuover price sport kits,huwezi muuzia mtu nguo ya juu pekee kwa bei hiyo,shout outs kwa starboi imemtoa balaa
Vuta subira mkuu, si unawajua wale nugu zetu wanaocopy mpaka sura!
 
Nimewaona muda mfupi ulopita wakicheza na wingereza duh mimi nime miss zile sura ngumu za kazi kama yekini pale uche ukwachuku pale Daniel amokachi kule taribo west ilikuwa shughuli sasa leo nigeria marangirangi mengi
 
Designer wa jezi ya Kikosi cha Nigeria anastahili pongezi.

Inaitwa kufanikiwa kwa dhima ya muandishi.
Natokea Msimbazi lakini hizi nimezikubali. Designer katisha vilivyo
IMG_20180602_212837_171.jpg
 
Du kweli tupo tofauti, Hiyo jezi sijaona uzuri wake! maua-ua kama kitenge!
 
Nawapenda Nigeria lkn jezi sijazipenda
 
Hapo kuna walionunua kwaajili ya kwenda kuzilangua,namuona mmoja kwenye foleni kabeba shopping bag ya h&m brand pendwa ya walalahoi.
 
Mh huwenda mimi niko tofauti na nyie sijaona Uzuri wa hiyo Jezi michoro mingi hii jezi au ubao wa Draft.
Mie mwenyewe naona ya kawaida tu,rangi mingi mpaka inaumiza macho,ila vijana ndo wanapenda.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom