didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,104
- 3,594
Uwepo wake hapo umechukiza ukiachana na sababu zinginezo za kuuchukia mwengeAlama ya mwenge ndiyo imekufanya upaliwe?
yule mangi ni tapeli alafu ni simba kale.Hii kazi wamefanya kina privadinho kwa upande wa jersey msimu huu😂😂😂😂🙌big no kwanza zinanyonga koromeo
Chukua jezi ya kijani au njano, hazina mwenge. Huna haja ya kuchukiaUwepo wake hapo umechukiza ukiachana na sababu zinginezo za kuuchukia mwenge
Vilikuwa vinadesa kwa sheria mwisho vikamwambia boss hii mbona tunawezayule mangi ni tapeli alafu ni simba kale.
Kiongozi wa timu alijua atakuwa mgombeawa ubunge kwahyo alikuwa anajaribu kujiweka karibu ili apewe sifa.Baada ya sheria ngowi kuachana na yanga, yanga walipata designer mpya ila cha ajabu hizi jersey za msimu huu ni kituko cha muongo kama sio karne kabsa. Kwenye jersey ety wameweka mwenge sa sjui unafanya nin mwenge wa kichaw wa Nyerere. Ni aibu na haujapendeza kabsa.
Ushauri wa bure mnatakiwa ukawapime ubongo wote waliopitisha hii design.
Saidia fundi
Siwez vaa jersey ya yanga. Hata zile ni mbaya mwaka huu sema hii imekifu zaidiChukua jezi ya kijani au njano, hazina mwenge. Huna haja ya kuchukia
madako yakeKiongozi wa timu alijua atakuwa mgombeawa ubunge kwahyo alikuwa anajaribu kujiweka karibu ili apewe sifa.
acha ujinga,hiki unachojadili humu kina faida gani?Mtu mwenyew unaitwa horn kwaio unafikir kila mtu yupo horn kama wewe. Emu kafie mbele
Kweny ukwel tunasemaga bhn mbona kuna misimu walitoa jez kali mfano ile jersey nyeus ya mwaka juz kama sikosei.Kwan n msimu gn mliwahi kusema jezi n kali?
Kwahy Ww kila ukiona mwenge unaona n huu wa uhuru?
Lina uhusiano gan na huu uzi?Unajua chimbuko la Young African,
tutawapangia kwasababu ile sio klabu ya CCMWanadai tusiwapangie.Hao ni mpango WA kando wa Sisimu...