Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,976
- 6,398
Jezi hazichezi mpira
Mwenge kwenye jersey ya YangaLina uhusiano gan na huu uzi?
Aya pumzika sasa.ubarikiwe sana mleta mada kukuleteapo habari hii mujarabu ya nyuzi. binafsi nimekoshwa sana na hiyo nyuzi hasa hizo NYOTA hapo juu. Abarikiwe sana jiiesiem.
Mwenge na Yanga kipi kilianza?Mwenge kwenye jersey ya Yanga
YangaMwenge na Yanga kipi kilianza?
Nan huyo kasema inacheza mpira? Ila ukwel ni kwamba jersey inaathiri uwezo wa kimpira ikiwa mauzo yakiwa hafifu moja kwa moja klabu itapata hasara japo uzi wangu haujajikita kweny performance ya uwanjan bali muonekano wa jerseyJezi hazichezi mpira
sasa huo uhusiano unatoka wap? kwamb Alexander Nyirenda alikua mwenyekit wa Yanga? Punguza upuuziYanga
kazi kwelikweliAiseeeeeee
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Young_Africans_S.C. usiwe mpumbavu mpumbavu kamasasa huo uhusiano unatoka wap? kwamb Alexander Nyirenda alikua mwenyekit wa Yanga? Punguza upuuzi
Moderator huyu shetani afungiwe na takataka zake zifutwe
Kumbe huwezi kuvaa jezi ya Yanga. Sasa kwanini uchukie kitu ambacho hukitumiiSiwez vaa jersey ya yanga. Hata zile ni mbaya mwaka huu sema hii imekifu zaidi
We n kichaa sio bure sasa hio link ina nini cha maana? au chenye uhusiano na huu uzi?https://en.m.wikipedia.org/wiki/Young_Africans_S.C. usiwe mpumbavu mpumbavu kama
wapi nimesema nimechukia? Kutovaa haimaanishi siruhusiwi kutoa maoniKumbe huwezi kuvaa jezi ya Yanga. Sasa kwanini uchukie kitu ambacho hukitumii
Sasa nini kimekuleta kwenye huu uzi?Mimi kujadili jezi za Yanga ni sawa na kujivunjia heshima
Ukiachana na quality ya kitambaa,jersey nzuri inatakiwa iwe na design nzuri inayoeleweka na kuvutia kimaudhui na kimuonekano. Hivi vingine ulivyoandika ni mawazo yako na sipo hapa kubishana na hayo mawazo kwenye muktadha uo.Ivi jezi ili iwe kali inabidi iweje mtoa mada?
Embu tuanzie hapooo!!
Maana umekaaa apo kwa shemeji yako umeshiba mihogo hata kanisani hujaenda, umekopa bando umekuja kuanzisha uzi haueleweki.
Nimekuja kutoa tamkoSasa nini kimekuleta kwenye huu uzi?