Jezi za yanga ni upuuzi wa muongo

Jezi za yanga ni upuuzi wa muongo

Kweny ukwel tunasemaga bhn mbona kuna misimu walitoa jez kali mfano ile jersey nyeus ya mwaka juz kama sikosei.
Kuhusu mwenge sisi sio wajinga na tunaelewa tunachofanya.
Mwaka juz walitisha sn kwenye jersey yanga,ila mwaka Jana na sasa n shida tupu.
Simba wapewe maua Yao miaim yote Huwa wanakuja na Jersey kali,
 
Uwepo wake hapo umechukiza ukiachana na sababu zinginezo za kuuchukia mwenge
..... umechukizwa..... kuuchukia......
wapi nimesema nimechukia? Kutovaa haimaanishi siruhusiwi kutoa maoni
Ukichukizwa, maana yake umechukia, umekichukia hicho kitu

Unaruhusiwa kutoa maoni ila inashangaza unachukia kitu ambacho hukitumii, hakipo kwenye mpango wako
 
..... umechukizwa..... kuuchukia......

Ukichukizwa, maana yake umechukia, umekichukia hicho kitu

Unaruhusiwa kutoa maoni ila inashangaza unachukia kitu ambacho hukitumii, hakipo kwenye mpango wako
mimi ni shabiki wa yanga na sivai jersey kwasababu ni mbaya na pia uchawa wa hii club unaniboa sana.. Nilinunua jez nyeus kwasababu ilikua nzuri
 
The beauty is in the eye of beholder.
What one person finds attractive, another may not.
 
Back
Top Bottom