Mwaka juz walitisha sn kwenye jersey yanga,ila mwaka Jana na sasa n shida tupu.Kweny ukwel tunasemaga bhn mbona kuna misimu walitoa jez kali mfano ile jersey nyeus ya mwaka juz kama sikosei.
Kuhusu mwenge sisi sio wajinga na tunaelewa tunachofanya.
..... umechukizwa..... kuuchukia......Uwepo wake hapo umechukiza ukiachana na sababu zinginezo za kuuchukia mwenge
Ukichukizwa, maana yake umechukia, umekichukia hicho kituwapi nimesema nimechukia? Kutovaa haimaanishi siruhusiwi kutoa maoni
mimi ni shabiki wa yanga na sivai jersey kwasababu ni mbaya na pia uchawa wa hii club unaniboa sana.. Nilinunua jez nyeus kwasababu ilikua nzuri..... umechukizwa..... kuuchukia......
Ukichukizwa, maana yake umechukia, umekichukia hicho kitu
Unaruhusiwa kutoa maoni ila inashangaza unachukia kitu ambacho hukitumii, hakipo kwenye mpango wako