Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano.
But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga
Yanga kuweni serious na brand yenu, hizo rangi hapo juu hazimo kweny official colour palette ya yanga ambazo ni Njano na Kijani.
Picha ya kwanza hapo juu(Home kit aliyovaa mwamba wa lusaka) hio sio kijani yenu, ni kama blue flani mkolezo ambayo haisisimui na kuleta nostalgia feelings za yanga ninayoijua mm.
Picha ya pili(away kit) hapo juu sio njano, hio ni gold, tangia lini gold ni moja kati ya rangi zenu, yang kuweni serious na brand yenu, na rangi ya timu ndio utambulisho wa timu, ni kitu muhimu sana, haswa kweny Home kit, ni muhimu home kit kubeba moja ya rangi zinazowatambulisha.
Jezi ni utambulisho wa timu, rangi pia ni utambulisho wa timu, jezi zinabidi ziwe na rangi zinazotambulisha timu, haswa home kit, sasa home kit ya yanga haina hata colour moja ambayo inayowatambulisha, hata maandishi hapo kifuani ni gold sio njano.
Angalia hata timu za wenzetu, mfano Madrid colour palette yao ni white(mostly), gold and blue, huoni home kit ya madrid misimu yote lazima iwe nyeupe regardless, kwan wao hawaoni rangi zingine?
Mfani mwingine ni Barcelona, colour pallete yao ni Red and blue, home kit zao misimu yote lazima zitakuwa na red na blue, kwani wao hawazioni rangi nyingine.
Home Kit ni jezi ya kuheshimiwa, msichague-chague tuu marangi, tumieni akili.