Gengis Khan wa Jf
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,311
- 3,344
Siku hizi bongo naona watu wengi wameingiwa ugonjwa wa kupenda jezi za Zamani na zinatamba sana , viwandani wanazitengeneza kwa material ya kisasa kiasi ambacho zitatoka Bomba sana .
Mfano jezi ya Man U sharp zipo kila kona , Arsenal JVC za njano , Barcelona , Liverpool, Man city nk.
Brazil hizi zinashika zinaongoza sana mitaani kila ukipita unapushana na watu wamevaa na madukani haukosi.
Nyingine ni Chelsea hizi zinaongoza kununulika kuliko jezi mpya za Chelsea za misimu huu na mitatu nyuma
Hii trend imeenea mpaka Ulaya adidas wenyewe jezi zao msimu huu kwa timu nyingi wamerudia fashion Yao ya jezi zao za miaka ya 2007 na kumodify kidogo