makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Kuna real betis, kijani na mistari myeupe.Nimemsahau Kuna wale Wazee wa Crefisa na Kuna Moja ya kijani imetanba sana nikiikumbuka nitaweka picha
Wale crefisa walikuwa ni palmeiras
Kuna real betis, kijani na mistari myeupe.Nimemsahau Kuna wale Wazee wa Crefisa na Kuna Moja ya kijani imetanba sana nikiikumbuka nitaweka picha
Juzi Kigamboni niliona mdada mmoja kavaa jezi current wanayotumia Wolverhampton...nilishangaa sanaSiku hizi bongo naona watu wengi wameingiwa ugonjwa wa kupenda jezi za Zamani na zinatamba sana , viwandani wanazitengeneza kwa material ya kisasa kiasi ambacho zitatoka Bomba sana .
Mfano jezi ya Man U sharp zipo kila kona , Arsenal JVC za njano , Barcelona , Liverpool, Man city nk.
Brazil hizi zinashika zinaongoza sana mitaani kila ukipita unapushana na watu wamevaa na madukani haukosi.
View attachment 3516293
Nyingine ni Chelsea hizi zinaongoza kununulika kuliko jezi mpya za Chelsea za misimu huu na mitatu nyumaView attachment 3516294
Hii trend imeenea mpaka Ulaya adidas wenyewe jezi zao msimu huu kwa timu nyingi wamerudia fashion Yao ya jezi zao za miaka ya 2007 na kumodify kidogoView attachment 3516295
Hizi hapa mpaka vijijini zinakimbiza vibayaKuna real betis, kijani na mistari myeupe.
Wale crefisa walikuwa ni palmeiras
Waarabu wanaharibu kandanda kweli, aaaahMashabiki wa soka wameamua kuishi kwenye kumbukumbu nzuri ya soka la zamani kabla ya mwaka 2010 lililokuwa na ushindani wa kweli. Soka la sasa limeharibiwa na pesa ya mafuta ya waarabu hakuna ushindani tena. Miaka hii akina Man U na R. Madrid wananyanyasika mbele ya Man City na PSG. Miaka hiyo huwezi kukuta huo upumbavu. Timu kama Ac Milan ya Kaka, Juve ya Del Piero, Roma ya Toti, Lazio ya Crespo, na Fiorentina ya Batistuta zilikua moto sana. Kule Spain kulikua na Valencia ya Mandieta, na Derpotivo la Coruna ya Diego Tristan. Ila sasa hivi hizo timu zimekua mdebwedo, wachezaji wazuri wote wanachukuliwa na timu zenye pesa ya mafuta hakuna ushindani tena.
Hii jezi ilinipatia mchumba, shabiki wa liverkuku lia lia.Popote utapokutana na mtu kavaa hii jersey siku ya jumapili na kanyoa para huyo ni mimi...View attachment 3516321
Kwa msimu huu hii naona ndio jezi Kali zaidi Epl kila ninaye kutana nae imempendezaPopote utapokutana na mtu kavaa hii jersey siku ya jumapili na kanyoa para huyo ni mimi...View attachment 3516321
Uzi mzuri sana hakika old is gold
Bila shak wewe ni mwembama flan iv wenye kaumisi na kaumbo flan ivHii jezi ilinipatia mchumba, shabiki wa liverkuku lia lia.
Mie sio shabiki wa liver, ila hii jezi naikubali sana na niko nayo hadi leo.
Hii waliipatia mnoo, afu mikono mirefu sasa.
Woiiiiiih 🔥🔥🔥🔥
Miaka hiyo tunatoka kwa azizi ally. Tunaenda mtongani pale ccm kwa msomali kuangalia arsenal usiku. Ndiyo pale kulikuwa na DstvArsenal tulikuwa na JVC
Hata Mimi nilikua naenda ccm mtongani na kwa komba Pako jirani na ccm. Kwa komba palikua bomba sana palikua na projector.Miaka hiyo tunatoka kwa azizi ally. Tunaenda mtongani pale ccm kwa msomali kuangalia arsenal usiku. Ndiyo pale kulikuwa na Dstv