Jezi za Zamani na timu zisizojulikana zinatamba mno mitaani

Juzi Kigamboni niliona mdada mmoja kavaa jezi current wanayotumia Wolverhampton...nilishangaa sana
 
Waarabu wanaharibu kandanda kweli, aaaah
 
Popote utapokutana na mtu kavaa hii jersey siku ya jumapili na kanyoa para huyo ni mimi...View attachment 3516321
Hii jezi ilinipatia mchumba, shabiki wa liverkuku lia lia.
Mie sio shabiki wa liver, ila hii jezi naikubali sana na niko nayo hadi leo.
Hii waliipatia mnoo, afu mikono mirefu sasa.
Woiiiiiih πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Hii jezi ilinipatia mchumba, shabiki wa liverkuku lia lia.
Mie sio shabiki wa liver, ila hii jezi naikubali sana na niko nayo hadi leo.
Hii waliipatia mnoo, afu mikono mirefu sasa.
Woiiiiiih πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Bila shak wewe ni mwembama flan iv wenye kaumisi na kaumbo flan iv
Lazima jersey ikukae.
 
Miaka hiyo tunatoka kwa azizi ally. Tunaenda mtongani pale ccm kwa msomali kuangalia arsenal usiku. Ndiyo pale kulikuwa na Dstv
Hata Mimi nilikua naenda ccm mtongani na kwa komba Pako jirani na ccm. Kwa komba palikua bomba sana palikua na projector.

Siku zingine nilikua naangalia mpira pale Keko Tameco Kuna bar ilikua inaitwa monvilla Bulawayo palikua na tv kubwa sana kama inch 60 hv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…