Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyo haelewi anachokiongea, anajifanya mjuwaji kumbe hana anachokijuwa. Ni poyoyo mmoja mwongo wa kutupwa.

Halafu hana haya, kila anapoleta ujinga nikimbamba anaanza kutukana huyo, povu debe.
Wee umbwa koko haramu isiyolika nikome mwanaizaya mkubwa wewe.. Na hakuna kuripoti kwa mods
Mbona mpaka sasa hujaonesha hata kiwanda kimoja kinachotengeneza jezi Tanzania? Hapa muongo ni mimi au wewe? Hovyo kweli wewe ajuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuoneshe wewe kama nani? Wewe wacha kuwa muongo hapa JF. Kumbuka, si wote wajinga wenzako.

Asiye na macho haambiwi ona, asiye na masikio hjaambiwi sikia.

Wewe danganyana na wajinga wenzio, nikikubamba unalo. Kumbuka hilo.

Ngoja nikupe homework kidogo:

Unakijuwa kiwanda cha mashati ya "kurabo"? Kiko wapi? Hata hayo mashati kwanza unayajuwa?
 
Nimezaliwa kwenye biashara za Kariakoo. Kwa kukujuza tu.

Nyerere nimeshawahi kumuuzia sigara dukani kwetu.

Dogo hilo?
Nyerere nimeshawahi kumuuzia sigara dukani kwetu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kawadanganye ndezi wenzako hapo kwenu! Kigenge cha bazoka ndio unajifanya unajua biashara juha kweli wewe
Mbona husemi kwanini ulipigwa PI Canada na Nyerere akapigilia msumari!?
Unakumbuka kipindi kile ukijifanya uko Canada kumbe umehifadhiwa hapo lumumba mshamba wewe?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuoneshe wewe kama nani? Wewe wacha kuwa muongo hapa JF. Kumbuka, si wote wajinga wenzako.

Asiye na macho haambiwi ona, asite na masikio hjaambiwi sikia.

Wewe danganyana na wajinga wenzio, nikikubamba unalo. Kumbuka hilo.
Umesema jezi nyingi zinatengenezwa bongo taja kiwanda kimoja uthibitishe kauli yako.. Ukishindwa kauli yangu ni sahihi kwa asilimia 100 WEWE FAIZAFIX ni AJUZA MUONGO ULIYEKOSA HAYA NA AKILI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asiye na macho haambiwi ona, asite na masikio hjaambiwi sikia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kisukari kimeanza kupanda [emoji23]

Ngoja nikupe homework kidpppgo:[emoji23][emoji23][emoji23]Uuwiii mbavu zangu eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soda ikuhusu jumapili hii ndugu
 
hujui kingereza,thats on you

kiswahili pia hujui

i wonder hata kilugha cha unapotoka hujui

who the fvck are you?

najua kingereza najua Kiswahili najua kichagga fluently,wivu umekushika,thats on you!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu habari za j2
 
DahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hili neno bazoka nililisikia kitambo sana miaka hiyo ya elfu mbili enzi za utoto
 
Asite, Hjaambiwi, kidpppgo... wewe slay queen wa enzi za TANU mbona unachapia sana? Ulikuwa unafanya nini wakati unaandika hiyo comment?
 
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…