Jezi zilizokamatwa sio feki ni michezo ya Kariakoo, Sandaland kazidiwa maarifa

Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
Wee mwanaizaya kuna wakati unapaswa kuruhumiwa ujue! Kila nikiangalia mada yako unayowaalika wavulana wadogo wakutongoze! Kisha nikiingalia familia yako hapo kigamboni mume wako na wajukuu na vile unavyojifanya mtu wa dini na hekima sana nabaki na kicheko kikubwa cha dharau mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kuruhumiwa" ndiyo nini wee poyoyo?
 
Umesema jezi nyingi zinatengenezwa bongo taja kiwanda kimoja uthibitishe kauli yako.. Ukishindwa kauli yangu ni sahihi kwa asilimia 100 WEWE FAIZAFIX ni AJUZA MUONGO ULIYEKOSA HAYA NA AKILI

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui mmeanzia wapi na huyu bibi ila mi nakijua kiwanda kimoja Morogoro kinapakana na iliyokuwa yard ya Layne Drilling wanatengeneza jezi quality ya hali ya juu sana ila nasikia hua ni for export haziuzwi ndani
 
Sijui mmeanzia wapi na huyu bibi ila mi nakijua kiwanda kimoja Morogoro kinapakana na iliyokuwa yard ya Layne Drilling wanatengeneza jezi quality ya hali ya juu sana ila nasikia hua ni for export haziuzwi ndani
Yeye anazungumzia hizi zilizokamatwa kuwa za SIMBA na Yanga.. Kwamba nyingi zinatengenezwa hapa chache ndio zinaagizwa nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kivumbi kinaendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni watu tufaidi umbea.

Kumbe niendelee kutembelea mji mwema,siku naweza kumuona huyu Mama akanipa elimu ya dini live.
 
Kumuuzia Nyerere sigara ndio reference yako ya kuzaliwa kwanye biashara za kariakoo??
Pathetic

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Dogo hilo? Kwenye historia kama hukuniandika basi hukutaka ijulikane kama Nerere alikuwa anaburuza fegi.

Nakuonesha kuwa nimezaliwa na kukulia kwenye biashara. Usifikiri zamani duka la sigara linauza sigara tu.

Basi wewe poyoyo hata kustuka kusema vipi Nyerere akanunuwe sigara dukani kwao huyu?
 
Upo sahih


Vijora na madela kwa asilimia kubwa vinashonwa hapahapa bongo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…