Bingwa Bucho,ingependeza tuwe tunafanya get together ya wana JF wote mara moja kwa mwaka . sio mbaya wakakaribishwa wana JF wote wenye uwezo wakuja Arusha tuka burudika pamoja . Mungu ibariki JF na watu wake.
Kaka, u mzima lakini?
Right now we are speaking business, kama unafanya booking fanya mapema, ndipo utaingia kwa mawasiliano ya personal na Preta!...Vinginevyo nafasi zitajaa, uanze tena kulalamika.
Bingwa Bucho,
Unachoongea ni akili tupu, na ndiyo maana tukapata wazo la hivi.
Lkn pia na ieleweke kwmb ktk gathering yetu ya 27th itakuwa pia ni PLATFORM kubwa sana ya kupendekeza mambo yetu ya kutuweka pamoja zaidi. so mkuu kusanya hoja zako mradi ziwe na mashiko.
Ooh Cheusimangala,
Itakuwa raha ya ajabu sn kuwa na wewe, na wengi huwa wanakuita 'dream-lady, maana huwa kukuona ni kama ndoto.
Nimeshakuingiza kwenye table tayari, na sasa ingia PM Unitumie nambari yako for comm purpose!
PJ naomba kukaa gari moja na CHEUSI jamani,,,,just a favour
mmh haya banaNafurahi kujua ntaketi gari moja na a lady who is wise.
kwa tarehe 27 nina 90% ya kuwepo, let me pull all strings.
pj, i will get in touch soon...best idea so far.
The King, hii imetulia!! We are on the move!!yah!....
MORE UPDATES FROM MEMBERS KUTOKA DAR:
tulio wengi likizo zetu zitaanza tar 23 na kuendelea......!mkakati wa chini chini umeshaanza na kinachofikiriwa kwa sasa ni ku-fainalize makubaliano kwamba tunaendaje (kwenye hili tupo tayari na tumeridhia kuungana na mkuu wa kaya,kwa kuwa ameandoka kwamba anaweza kudrive,na ku-avoid unnecessary expenses ni vyema tukawa na gari moja......).
Tunasubiri watu wawili watatu ambao wapo nje ya dar kwa sababu za ki-majukumu then tutatoa kauli ya pamoja ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na mkuu wa kaya.
USHAURI BINAFSI:sikukuu zimekuwa zikiambatana na wanafamilia kukaa pamoja aidha kuwa na burudani fananishi au kitu kingine tofauti....!according to me,nilidhani kwamba iwe kati ya tar 27 hadi tar 30 december ili kupisha nafasi kwa ajili ya mtu mmoja mmoja na familia yake kwenye hivi visikukuu
NAWASILISHA
yah!....

yah!ONE LOVEI can imagine how fabulous will be! Mungu apishilie mbali vikwazo vya aina yoyote.Inafurahisha sana kwa wapendwa wa Dar na kwingineko kuweza kutuunga mkono!God bless JF
Nipo nitawapataje?
Wana, nilikua nje ya forum kwa muda lakini good news ni kwamba PJ TUPO PAMOJA
Baba Ubaya, heshimakwako broda.Pakajimmy plz ur idea is value wise... Add me npo ARS pia!
mKUU, karibu sana...kwa tarehe 27 nina 90% ya kuwepo, let me pull all strings.
pj, i will get in touch soon...best idea so far.
na kwa kuwafahamisha tu, wakati tunarudi tutapitia Yaeda muwasalimie ndugu zangu,jamaa na majirani....nimekuwa nikiwasimulia habari zenu wana JF wakapata shauku ya kuwaona, kwa hiyo tutakula asali kwa wingi na wale wanaotumia nyanyi roho zenu zitasuuzwa....karibuni sana