PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
- Thread starter
- #121
Bingwa Bucho,ingependeza tuwe tunafanya get together ya wana JF wote mara moja kwa mwaka . sio mbaya wakakaribishwa wana JF wote wenye uwezo wakuja Arusha tuka burudika pamoja . Mungu ibariki JF na watu wake.
Unachoongea ni akili tupu, na ndiyo maana tukapata wazo la hivi.
Lkn pia na ieleweke kwmb ktk gathering yetu ya 27th itakuwa pia ni PLATFORM kubwa sana ya kupendekeza mambo yetu ya kutuweka pamoja zaidi. so mkuu kusanya hoja zako mradi ziwe na mashiko.