PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
- Thread starter
-
- #141
Mkuu Teamo,yah!....
MORE UPDATES FROM MEMBERS KUTOKA DAR:
tulio wengi likizo zetu zitaanza tar 23 na kuendelea......!mkakati wa chini chini umeshaanza na kinachofikiriwa kwa sasa ni ku-fainalize makubaliano kwamba tunaendaje (kwenye hili tupo tayari na tumeridhia kuungana na mkuu wa kaya,kwa kuwa ameandoka kwamba anaweza kudrive,na ku-avoid unnecessary expenses ni vyema tukawa na gari moja......).
Tunasubiri watu wawili watatu ambao wapo nje ya dar kwa sababu za ki-majukumu then tutatoa kauli ya pamoja ikiwa ni pamoja na kuwasiliana na mkuu wa kaya.
USHAURI BINAFSI:sikukuu zimekuwa zikiambatana na wanafamilia kukaa pamoja aidha kuwa na burudani fananishi au kitu kingine tofauti....!according to me,nilidhani kwamba iwe kati ya tar 27 hadi tar 30 december ili kupisha nafasi kwa ajili ya mtu mmoja mmoja na familia yake kwenye hivi visikukuu
NAWASILISHA
Kimsingi ni kwamba, awali, tarehe ile ya kwanza ilikuwa ni too elementary set-up.
Baada ya kujadiliana kirefu na Mkuu Maxence, tumeona tui'shift hadi 27/12.
Naomba hii iwe taarifa kwa umma wa JF NA WOTE WATAKAOPENDELEA KUUNGANA NASI!
Lakini pia nitoe shukrani za pekee kwako wewe Teamo, lakini kwa wanabodi wote walioamua kuungana na Maxence kuja Arusha kufanya jumuiko na sisi.
Mungu awabariki sana, na tutakuwa tukiwapa updates!