Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Waambie mama ngoja nakuja maana leo kuanzia mida ya saa nane nlikuwa na msala wa kufa mtu nitaurusha nikitulia
mwee mwee mwee....wakina nani wamekufanya nini tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie mama ngoja nakuja maana leo kuanzia mida ya saa nane nlikuwa na msala wa kufa mtu nitaurusha nikitulia
mwee mwee mwee....wakina nani wamekufanya nini tena?
Tulia mama ntawahabarisha ila hii ya leo ni kiboka nairusha muda siyo mrefu
Uwiiiii hii thread kila niisomapo basi napata munkhari balaa, sasa sijui kama hii mashua yangu itatia nanga kabla ya hiyo tarehe 27/12~Hii kazi ya uvuvi itabidi niiache, inanikosesha mambo hii!.:teeth:
He he si unajua mambo yetu huku kanda ya ziwa~uvuvi shughuli.he he he......unavua eeeh......samaki
haya nasubiri
Mkuu,sema km ni ishu ya hatari ,km vp tukimbie, tuhamishe ile maskani.
Aa wala usijali mtu wangu ni mambo ya kijamii zaidi maana unajua tena tabia za wanjamii ni kujaliana na kusikiliza matatizo ya watu mbalimbali na nimeshairusha ina kichwa cha habari kinachosema ANA MIMBA NA CONDOM IMETUMIKA KWA USAHIHI kaka ni utata mtupu
mkuu, ngoma ilipasuka bila wewe kujua, huenda mtambo mkubwa sana mazee,8"???, hiyo lazima i'blow bila we kujua,hasa km bnt mwnyw ni wa njia hii tutakakotembelea!
Inawezekana mwanamke utulivu ni 0
:focus:
Tuna safari ya kwenda porini kuangalia wanyama na wanajf tu wengi tayari tumeshakutana na kupanga mipango mwamko ni mkubwa na timu iko moto wanopenda kujiongeza toeni taarifa ili tuongeze usafiri
Amejiunga humu. Au keshaanza kuhisi harufu mazee!
Asante kwa taarifa.............................Kaizerrrrrrrrrrrr!!!????????????? where r yuuuuuuuuuuuuuu?
Yupo na keshashtukizia mpango mzima,,kama vipi tunaweza kuishia sambarai..
Noted,,,,,but for the case of sambarai:nono:
PJ Pope ni nxt from me kny longbase,,,tafadhali pitisha:teeth:
remember, we need not he long base....u know the 'pope mobile'?
hahaha!just relax,,everything will be undercontrol :whoo:
Kuwa mpole wewe,,,,,utakaa na dreva ohoooUnataka kufanya nini tena na pope? Ntaizimisha hiyo safari then tuondoke wote kwenda Zanzibar! Mie staki maneno