Jf-arusha wing...safari updates

Jf-arusha wing...safari updates

Mkubwa naondoka na ile 110 Tarehe 23 usiku vipi nikupeitie kuna nafasi ya mtu 1 tuko 3(Sophia na Finest) tayari,

Hahahaha...ngoja niitafute ile kanda...sijui ile radio kaseti bado inafanya kazi?

Mbali kuuuleee naaaasikiaaa
Malaika waaa mbiiinguni,
Wakiimbaaaa weeengi pia,
Wimbo huo juu mbiiiiinguni.

Glooooooooooo oooooooo ooooooooo riaaaaaa, in excelsis deoooooo!
 
uyo mtoto wacha kabisa nitakuwa naye beneti apo

Preta yeye ni qualified logistishiani hana neno (sema amequalify pia mambo yetu yale mengineee big up)

Hommie taratibu....... bado sijamaliza ukaguzi pale..... subiri kwanza tafazali.
 
Msimsahau mfukunyuzi ili akapige picha za wanyama atuwekee humu.na kama kuna picha ya kifaru aliyekufa majuzi pia mtuwekee tumuone
 
Hahahaha...ngoja niitafute ile kanda...sijui ile radio kaseti bado inafanya kazi?

Mbali kuuuleee naaaasikiaaa
Malaika waaa mbiiinguni,
Wakiimbaaaa weeengi pia,
Wimbo huo juu mbiiiiinguni.

Glooooooooooo oooooooo ooooooooo riaaaaaa, in excelsis deoooooo!

Asee yangu ipo bana....

"Wachunga tuambieni
Sababu ya wimbo huo
Mwenye kuimbiwa ni nani
Juu ya nani wimbo huo,

Gloooria in excelsis Deo!
 
uyo mtoto wacha kabisa nitakuwa naye beneti apo

Preta yeye ni qualified logistishiani hana neno (sema amequalify pia mambo yetu yale mengineee big up)
Keizer Keizer tutaonanana wabaya hayaa!!!.....(hapa hakuna cha kutumia cheo chakoi ili unihukumu):whoo:
 
@ Asprin na Kaizer Am very serious tunaondoka 23 usiku saa 10 na mida ya mchana kwa majaaliwa ya Mola tutakutana na PJ na Preta kufinalise mambo. Tunaenda kutia nguvu team yetu ya home town na kunyoosha mapito ya mwenye Nguvu kuliko sisi Maxence /sauti ya mtu aliaye nyikani....
 
Asee yangu ipo bana....

"Wachunga tuambieni
Sababu ya wimbo huo
Mwenye kuimbiwa ni nani
Juu ya nani wimbo huo,

Gloooria in excelsis Deo!

Hommie, hakikisha unanunua betri za neshno asee.......

Je hamjui neeeeeno hili,
La kuzaliiiiiwaaaa mwooookozi,
Saaababuuuu ya wiiiimbo huu,
Ni wa wa kumshukuru Mweeeeenyezi.

Glooooooooooo oooooooo ooooooooo riaaaaaa, in excelsis deoooooo!
 
@ Asprin na Kaizer Am very serious tunaondoka 23 usiku saa 10 na mida ya mchana kwa majaaliwa ya Mola tutakutana na PJ na Preta kufinalise mambo. Tunaenda kutia nguvu team yetu ya home town na kunyoosha mapito ya mwenye Nguvu kuliko sisi Maxence /sauti ya mtu aliaye nyikani....

Hakuna anayebisha, ndo maana nataka PJ aniambie hali ya hewa ikoje kule....Asprin is always there for Surprise.... Hebu ngoja nimkumbuke marehebu bibi yangu Mamshanga (RIP my dear wifey)

Mwokosi kasaliiiiwa, twimbe haleluyaaaa,
Mtukufu masiiiya twimbe haleluyaa,
Tumtukuse tumwimbie tumfanyie shangwe,
Mkombosi masiya leo amesaliwaaaaa,
Haleluya, haleluya haleluyaaaaa

(Hapo akiwa anapasi nguo zake mpya za kwenda misa ya kwanza)
 
Tayari? Mbona hatukuagana swahiba?....Nataka niangalie logistics za kuthibitisha hili tripu asee.

PJ hebu lete habari ya hali ya hewa huko, kwa sisi tunaotumia tukutuku tutasalimika?

Hiyo karibu toka 香港....ishu za mbege kesho mzee.....hebu konfem hiyo safari fasta aisee...nacheki na kina pj leo au kesho.
 
Mkubwa naondoka na ile 110 Tarehe 23 usiku vipi nikupeitie kuna nafasi ya mtu 1 tuko 3(Sophia na Finest) tayari,
Mkuu,
Opened doors for you Mkuu!...
U will have made our days!...make it happen guys,mtafikia wapi nataka nimtume Lilyflower aje kuwakeep company!
 
Hiyo karibu toka 香港....ishu za mbege kesho mzee.....hebu konfem hiyo safari fasta aisee...nacheki na kina pj leo au kesho.

Niko kwenye harakati za kutongozana na mkoloni angu bana. Akikubali tu, ntakuwa pembeni ya Wiseload...sore... Wiselady kwenye dabo kosta hiyo 27/12.
 
Hiyo karibu toka 香港....ishu za mbege kesho mzee.....hebu konfem hiyo safari fasta aisee...nacheki na kina pj leo au kesho.

Mkuu so far ratiba yetu ya kesho iko pale pale...nadhani pale sehemu itabidi wamweke mbuzi mzima pending kabisa!!!
 
Keizer Keizer tutaonanana wabaya hayaa!!!.....(hapa hakuna cha kutumia cheo chakoi ili unihukumu):whoo:

Hommie nitakuwakilisha vyema usijali hiyo ni sehemu tu......mi ni kama JKN, angetaka kuwa dikteta ingekuwa balaa maana nguzu zote alikuwa nazo...mi sipendi ivo..LOL
 
uyo mtoto wacha kabisa nitakuwa naye beneti apo

Preta yeye ni qualified logistishiani hana neno (sema amequalify pia mambo yetu yale mengineee big up)
Mkuu, shindwa mwenyewe,...WL sharti lake ni moja tu ukitaka kuwa nae karibu...Anataka pop-corn!
Ukimpa hizo mkuu ni 24/7 unammiliki!
 
Asee yangu ipo bana....

"Wachunga tuambieni
Sababu ya wimbo huo
Mwenye kuimbiwa ni nani
Juu ya nani wimbo huo,

Gloooria in excelsis Deo!
Hommie mpango wetu wa ku du ze nidfuli "Makuti Moro" kesho upo palepale!! Chonga na Maty kabsaa aje alipe bili!!
 
Hommie huo uko pale pale,,,, Maty sina mawasiliano yake kwa sasa Ngoja nimwombe Asprin maane ndo alipokea mchango wake nahisi faili halijaika mezani kwangu amwombe atupokee pale makuti mida ya saa nne hivi Mungu jaalia...
 
@ Asprin na Kaizer Am very serious tunaondoka 23 usiku saa 10 na mida ya mchana kwa majaaliwa ya Mola tutakutana na PJ na Preta kufinalise mambo. Tunaenda kutia nguvu team yetu ya home town na kunyoosha mapito ya mwenye Nguvu kuliko sisi Maxence /sauti ya mtu aliaye nyikani....

Nguli kweli upo serious?

Basi tenda kama ulivyo nena
 
Mkuu, shindwa mwenyewe,...WL sharti lake ni moja tu ukitaka kuwa nae karibu...Anataka pop-corn!
Ukimpa hizo mkuu ni 24/7 unammiliki!

Hapa muda si mrefu nitaingia jikoni kuzitengeneza.....sema kuna vyengine navijua hajakupaga siri tu maana hawezi kusema yote mkuu...Pamoja sana yaani....
 
Mkuu, shindwa mwenyewe,...WL sharti lake ni moja tu ukitaka kuwa nae karibu...Anataka pop-corn!
Ukimpa hizo mkuu ni 24/7 unammiliki!

PJ........PJ.........PJ:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Back
Top Bottom