Jf awards (nominees)

Kauli yako kwamba ungekuwa mwanaume usingeoa. Nikakuuliza kwanini? Ukasepa 😎
Tatizo nilikuwa nishajibu pale kama ID tatu hivi za hilo swali kwanini
 
Reactions: BAK
Loh!
Kama kajua mbona naona aibu aseee

Niombee basi siku ingine apitilize hadi PM kwangu [emoji852][emoji45]
Duh hv kumbe kuzimikiwa bado kuna exist etiii?

Aisee kweli wa mbili havai moja.Hongera mkuu tena shikilia hapohapo usiachie.
 
1-Okwi

2-Zero iQ

3-Warumi

4-castr (anaesbo sjui,sjui kwa nn kakosa kua nominated)

5-paschal mayala

6-yyte tu,maana hta kua kwnye mahusiano sipo

7-chief mkwawa (akipita hapa nna ka swali,anapajua kikombwe)

8-paschal mayala (angalia anavyowajibugi wanao mmisquote,very kind

9-mshana,kna jamaa wa astro projection u esahau kum nominated

10-mabishoo watajipigia kura #teamMarioo[emoji23].

Personal award nampa dada mmoja hv,km ni serikali,minister without portfolio nampa Numbisa
 
Kwann lakini nimekua nakutag sikuoni napokua nahitaji busara zako(kwa ukali Sana) [emoji20][emoji20]
Jamani sipati notification si unaijua jf yetu nisamehe bure

Heri ya pasaka kaka angu unaendeleaje lakini
 
Jamani sipati notification si unaijua jf yetu nisamehe bure

Heri ya pasaka kaka angu unaendeleaje lakini
Nili mswanu kwakwel kam wasemavyo wagogo.. [emoji23][emoji23]
Heri na kwenu pia. Tusherehekee kumbukizi ya kufufuka kwa Bwana wetu [emoji5][emoji5][emoji5]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…