Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Tulia basi ujue J hapendi wanaume wanaolialiaNatakaaaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia basi ujue J hapendi wanaume wanaolialiaNatakaaaaaa!
Tulia basi ujue J hapendi wanaume wanaolialia
Wapi?🙈
Tulia basi ujue J hapendi wanaume wanaolialia
Tatizo nilikuwa nishajibu pale kama ID tatu hivi za hilo swali kwaniniKauli yako kwamba ungekuwa mwanaume usingeoa. Nikakuuliza kwanini? Ukasepa 😎
Tatizo nilikuwa nishajibu pale kama ID tatu hivi za hilo swali kwanini
👍🏽Ok
Ila ungeniPM ningekujibu kwa urefu sana
AhahaaHizi sifa zingekuwa zinaongeza kipato tungepata akina Mo humu.
Kaká nakusalimia tu mmEti wewe unaupole gani mkuu?
Duh hv kumbe kuzimikiwa bado kuna exist etiii?Loh!
Kama kajua mbona naona aibu aseee
Niombee basi siku ingine apitilize hadi PM kwangu [emoji852][emoji45]
1-OkwiBandugu niwatakie heri ya pasaka..kwa wale wa baa, lounge, club tutakutana usiku.
Tuanzisheni tuzo za jf mshindi atashinda kutokana na mchango wake kwenye jukwaa husika, na aina ya michango yake, nyuzi zake zinahusu nini!
Kura zitapigwa na wana jf wenyewe hapa hapa!
1:mwanamichezo bora
-Okwi boban sunzu.
-Ndumbula ndema
-king ngwaba
-Don crelicuzio(huyu jina lake gumu)
-gentamycim (mwite popoma tu)
2-mchangamsha genge bora
-zero IQ
-Demiss
-ndege John
3-jukwaa la celebrity (wambeya bora)
-Warumi
-hance mtanashati
-Numbisa
-Raynavaro
-msaga sumu
4-jukwaa la chini
-msafwa
-castr
-bugeraha
-jestikila
5-jukwaa la siasa
-britanicca
-paschall mayala
-jinga lao
-malcom lumumba
6 jukwaa la mahusiano
-cute love
-mama Debora
-mrs mol
7 jukwaa la Tech &science
-chief mkwawa
(anayetaka kumchalenge aje)
8 mwana jf mpole
-mshana jr
-Paschal mayala
-khantwe
-lucas Mobutu
-madam s
-sky eclat
9 sangoma bora
-mshana jr
-Likud
-mzizi mkavu
10 bishoo wa jf
-fundi bishoo
-beira Boy
-prince mikazo
-pancho Boy (kujikubali muhimu) [emoji23]
Wengine mnaruhusiwa kuongezea.
Kura zinaaanza kupigwa mwisho ni Leo saa sita usiku.
Washindi watatangazwa hapa baada ya kura kuhesabiwa..
That's how we do
Kwann lakini nimekua nakutag sikuoni napokua nahitaji busara zako(kwa ukali Sana) [emoji20][emoji20]Kaká nakusalimia tu mm
Jamani sipati notification si unaijua jf yetu nisamehe bureKwann lakini nimekua nakutag sikuoni napokua nahitaji busara zako(kwa ukali Sana) [emoji20][emoji20]
Nili mswanu kwakwel kam wasemavyo wagogo.. [emoji23][emoji23]Jamani sipati notification si unaijua jf yetu nisamehe bure
Heri ya pasaka kaka angu unaendeleaje lakini