Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kalaga Baho Nongwa ukimleta Kkoo yupo ukimpeleka Zanzibar yupo ni wewe tu uchague unataka kufanya nini. Jamaa anaonekana ni hustler mtu wa harakati sana. Big Up kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni watu wema. Wanawasaidia nyumbu kujitambua.Mchizi hana nouma lakini umeharibu kwa kumalizia na kuwataja machawa na wapumbavu wa ccm
Nimerudi bongo mkuu ila zanzibar nitaenda next month nadhanKalaga Baho Nongwa ukimleta Kkoo yupo ukimpeleka Zanzibar yupo ni wewe tu uchague unataka kufanya nini. Jamaa anaonekana ni hustler mtu wa harakati sana. Big Up kwake.
Bwege wewe hao ni watu wema au wapuuzi wenzio wa CCM?Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo wachache wema. Kuna watu wako tayari kukusaidia bila kukujua wala kutaka chochote kitu kutoka kwako.
Kwa mamlaka niliyojipa nimeamua kumtambua ndugu Kalaga Baho Nongwa kuwa ni mtu mwema anayependa kuona watu wanapiga hatua. Kupitia uzi wake wa machimbo ya Kkoo nimepata contacts ambazo zimenisaidia kuokoa hadi 20% ya bajeti yangu. Machimbo anayotoa Kalaga Baho ni ya ukweli kabisa. Kikubwa hata watu wake anaowa-recommend ni waaminifu na wanatoa huduma iliyonyooka kama rula. MUNGU MBARIKI KALAGA BAHO... AMEN. Tuige mfano wake.
Ninatambua pia uwepo wa watu wema wengine kama Lucas Mwashambwa & Ephen, bibi Faiza, Tlaatlaah, USSR, Magonjwa mtambuka, bia yetu.
Ata mimi mwana alinisaidia kupata mkopo wa riba nafuu sawa na bure
trudie , kwema? Ni siku nyingi sana zimepita, natumaini utakuwa ni mzima wa afya.Watu wema JF wapo sana kuna mkuu anaitwa Mac Alpho kila siku kwenye maombi yangu lazima nimuombee Mungu azidi kumbariki mno ni moja kati ya watu walionifanya nikaamini JF kuna watu wanaweza kuwa msaada hata kama hamjuani.
Mbona Mimi hujanitaja ndugu yangu!? [emoji2957][emoji1787]Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo wachache wema. Kuna watu wako tayari kukusaidia bila kukujua wala kutaka chochote kitu kutoka kwako.
Kwa mamlaka niliyojipa nimeamua kumtambua ndugu Kalaga Baho Nongwa kuwa ni mtu mwema anayependa kuona watu wanapiga hatua. Kupitia uzi wake wa machimbo ya Kkoo nimepata contacts ambazo zimenisaidia kuokoa hadi 20% ya bajeti yangu. Machimbo anayotoa Kalaga Baho ni ya ukweli kabisa. Kikubwa hata watu wake anaowa-recommend ni waaminifu na wanatoa huduma iliyonyooka kama rula. MUNGU MBARIKI KALAGA BAHO... AMEN. Tuige mfano wake.
Ninatambua pia uwepo wa watu wema wengine kama Lucas Mwashambwa & Ephen, bibi Faiza, Tlaatlaah, USSR, Magonjwa mtambuka, bia yetu.
Mbona Mimi hujanitaja ndugu yangu!? [emoji2957][emoji1787]
Anyway kama kuna tuzo ya member Bora wa mwaka Kura yangu ni Kwa ndugu Kalaga Baho Nongwa jamaa ana utu na utulivu. Mungu ambariki sana
Sina ushahidi usiotia shaka kuhusu wema wako.Mbona Mimi hujanitaja ndugu yangu!? [emoji2957][emoji1787]
Anyway kama kuna tuzo ya member Bora wa mwaka Kura yangu ni Kwa ndugu Kalaga Baho Nongwa jamaa ana utu na utulivu. Mungu ambariki sana
Yeah Inapendeza sana kujitoa kwa wenye uhitaji!
💯💯💯Siku hizi mitandaoni hata JF kumekuwa na posts na comments nyingi sana za chuki. Single Mama na waalimu wamekuwa wahanga wakuu wa hizi chuki. Pamoja na wingi wa watu wenye roho mbaya ila bado wapo wachache wema. Kuna watu wako tayari kukusaidia bila kukujua wala kutaka chochote kitu kutoka kwako.
Kwa mamlaka niliyojipa nimeamua kumtambua ndugu Kalaga Baho Nongwa kuwa ni mtu mwema anayependa kuona watu wanapiga hatua. Kupitia uzi wake wa machimbo ya Kkoo nimepata contacts ambazo zimenisaidia kuokoa hadi 20% ya bajeti yangu. Machimbo anayotoa Kalaga Baho ni ya ukweli kabisa. Kikubwa hata watu wake anaowa-recommend ni waaminifu na wanatoa huduma iliyonyooka kama rula. MUNGU MBARIKI KALAGA BAHO... AMEN. Tuige mfano wake.
Ninatambua pia uwepo wa watu wema wengine kama Lucas Mwashambwa & Ephen, bibi Faiza, Tlaatlaah, USSR, Magonjwa mtambuka, bia yetu.
Kuna mmoja hapo umemtaja sio kweli. Yaani she/he sees negative kwa watu always. Yaani nimemignore bora tusionane tu.Ninatambua pia uwepo wa watu wema wengine kama Lucas Mwashambwa & Ephen, bibi Faiza, Tlaatlaah, USSR, Magonjwa mtambuka, bia yetu.