JF bado ina watu wema. Ndugu Kalaga Baho ni miongoni mwao.

Bwege wewe hao ni watu wema au wapuuzi wenzio wa CCM?
 
Watu wema JF wapo sana kuna mkuu anaitwa Mac Alpho kila siku kwenye maombi yangu lazima nimuombee Mungu azidi kumbariki mno ni moja kati ya watu walionifanya nikaamini JF kuna watu wanaweza kuwa msaada hata kama hamjuani.
 
Mbona Mimi hujanitaja ndugu yangu!? [emoji2957][emoji1787]
Anyway kama kuna tuzo ya member Bora wa mwaka Kura yangu ni Kwa ndugu Kalaga Baho Nongwa jamaa ana utu na utulivu. Mungu ambariki sana
 
💯💯💯
 
Uzi umenajisiwa na machawa wa ccm uliowataja.

Huyu master namkubali sana asee . alito code za viatu hivi karibuni nikaipenyesha kwa msela angu anajihusisha na biashara za hizo akakuta vilevile. huyu jamaangu yeye hatumii huu mtandao anasema mgumu mno

mkuu pojkea maua yako@Kalaga Baho Nongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…