JF Chat: All members chat

Aisee namimi nakomaa zaidi mpaka kieleweke,mi nitaenda misri nikaone ma the mummy..πŸ˜‚

Mkuu fanya soft copy za vitabu au niandikie hata majina nitatafuta.
mfano GBPCHF.. hii pair ina GBP sawa, GBP ina interest rate kubwa kuliko CHF.. kwa tabia ya wawekezaji wanawekeza kitu chenye faida na sio hasara, hapo GBP ina faida kwa muwekezaji hata uki buy hiyo pair broker lazima akulipe wale.. sema mie mzito kuandika acha nikiss kwanza mtoto aende kazini. pitia hizo concept ila fanya sana RM ndio tatizo la wengi
 

Attachments

Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!.

Say hi to everyone and every time we will be there.


We chat..

Hello jf..?
Hi to everybody known,Sina urafiki na wasiojulikanaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Aisee namimi nakomaa zaidi mpaka kieleweke,mi nitaenda misri nikaone ma the mummy..πŸ˜‚

Mkuu fanya soft copy za vitabu au niandikie hata majina nitatafuta.
Jifunze VIX S&P 500 ina drive pair na namna gani inafanya kazi mkuu.. usi trade sana bila kujua how VIX inafanya kazi.. utakuja shindana na soko
 
Ahsante mkuu.. we mchumu tu..πŸ˜‚

Hili zoezi halitaisha leo tu.
 
Embu niache ninenepe ovyo ..Cha ubavu my tz11...

Nimejichungulia sioni shipa..[emoji848]embuu shipa si hua mnalo wanaume kwa jina lingine busha au!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee cc lol
 
Nafanya ila kwa shemeji yako tu
Sijakuambia unifanyie kuwa na adabu hujui mi Kaka yako takudunda..πŸ˜‚

Tatizo ukute namashemeji watatu..🀣
 
Wee KENZY utakuja ufe kwa stress, si ufanye mambo mengine achana na mapenzi uwiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijakuambia unifanyie kuwa na adabu hujui mi Kaka yako takudunda..πŸ˜‚

Tatizo ukute namashemeji watatu..🀣
🀣🀣🀣🀣🀣 Kaka unanichimba

Hehehehe...ninachokupendea unajua kugonga penyeweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…