Sure Nigeria kwa Tz hamna kitu ,sema ni vile tu wadada wa ki Nigeria wanajua kuvaa vitu vya thamani kubwa.Naunga mkono hoja
Hao siwajui ila hata kitaa kuna vyombo vya hatari .Ukitaka ujue hili angalia tamthilia za wabongo na wanaigeria
Tz kuna vifaa bhana mtoto kama Caren Simba, Jasinta Makwabeπ
Hapa kwetu upande wa pili kuna binti ni mzuri sana nimemuita binti kwasababu miaka yote yupo vilevile mimi nipo form 1 nilianza kumuona mpaka now nimezeeka tukitembea mimi naonekana mkubwaHao siwajui ila hata kitaa kuna vyombo vya hatari .
ππππ'subiri nitakupigia' hapa ndio unanipigia?π
Usiku mwemaππππ
Il asiwe kajichubua tuππHapa kwetu upande wa pili kuna binti ni mzuri sana nimemuita binti kwasababu miaka yote yupo vilevile mimi nipo form 1 nilianza kumuona mpaka now nimezeeka tukitembea mimi naonekana mkubwa
Kile ni kisu chenye makali
Weee hajajichubua, ana camel skinIl asiwe kajichubua tuππ
Unanivunja mbavu!
Mimi ni mfuasi wa Black skinWeee hajajichubua, ana camel skin
Basi Imani ni kua na hakika.....πππ, Vp lkn uko poa?Mpaji Mungu waebrania 11:1
Sana tu,, vipi weweBasi Imani ni kua na hakika.....πππ, Vp lkn uko poa?
Mimi napenda camel na black skin lakini camel ni fireMimi ni mfuasi wa Black skin
Zao la black na brown skin .Mimi napenda camel na black skin lakini camel ni fireView attachment 3028078
Hiyo ndo brown camel au maji ya kunde!Zao la black na brown skin .
Mashallah πππ₯°Mimi napenda camel na black skin lakini camel ni fireView attachment 3028078
Mashallah πππ₯°Mimi napenda camel na black skin lakini camel ni fireView attachment 3028078
Wewe itakua ni cheupe dawaπππHiyo ndo brown camel au maji ya kunde!
Nyie wanaume hamjui kutofautisha rangi
Thubutuuu...!ππ€Έ Rangi yangu vincenzor anaijuaWewe itakua ni cheupe dawaπππ