JF Chat: All members chat

Hawa mods kuna kitu wanafanya. Nenda kwenye ule uzi wa Popoma kuhusu wanawake. Kaangalie lile litaahira lilivyotuquote
Sasa mods wanahusika vipi?
Yule mwanzoni nilikua nampotezea lakini tokea nigundue anApenda shari nampa anachokitaka nguvu zinamuisha

Mitandao isikufanye unune, mtupie ignore list kama anakukera
 
Sasa mods wanahusika vipi?
Yule mwanzoni nilikua nampotezea lakini tokea nigundue anApenda shari nampa anachokitaka nguvu zinamuisha

Mitandao isikufanye unune, mtupie ignore list kama anakukera
Why wanatoaa Ban kwa watu hata hawasumbui wengine na wanamuacha. Usichojua dear anatumwa huyo. Miye naelewa kila kitu. Wee acha nitamnyoosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…