JF Chat: All members chat

Id yangu imechongewa ila ushanijua πŸ˜‚
Pole dear, πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ nacheka kama mazuri. Kichaa iko siku yake ataingia kwenye 18 nakwambia. Hii tabia itaisha tu, tuombe uzima.
Huwezi amini, sikuwa nikicheka wengine wakitukanwa, but alinizoea na kumpotezea mtu hajanikosea siwezi. Ila sasa nafikiri unaelewa why namimi kaamza kunishambulia. Hii tabia tutaikomesha, kuanzia anayemtuma mpaka anayefanya. Karibu tena 😜😜😜
 
Ana kikundi cha kutuma watu, wengine tunacheka nao humu ila pembeni ma snitch.
Unafki mwingi humu kaa kwa password.
 
Ana kikundi cha kutuma watu, wengine tunacheka nao humu ila pembeni ma snitch.
Unafki mwingi humu kaa kwa password.
Hilo mbona nalijua fika, labda umesahau tu. Ana ID's za kujisifia, za kutukana watu. Kikundi cha kutukana watu. Akigombana na mtu, unashangaa ID kibao zinajitokeza kumshambulia mpinzani wake. Naelewa yote na zaidi dear. Namjua nje ndani nasubiri tu aingie vizuri anga zangu. Majibu utayaona, siongei nafanya vitendo tu.
 
Kuwa makini unaocheka nao wengine ni maspy wake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una biti.
Mimi mbungi langu lazima watoe milio wakasemelee ninyamazishwe hivi hivi hawatoboi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ una biti.
Mimi mbugi langu lazima watoe milio wakasemelee ninyamazishwe hivi hivi hawatoboi.
I know, but achana nao dear. Be happy maisha ni mafupi. Kuna mengi ya furaha na ya thamani ikiwemo watu nje ya hapa JF. Fanya kama hawapo humu huwaoni, ukirudi potezea kila kitu. Mimi naweza nikaishi na mtu nikamfanya kama kafa ni vile mtu ananiquote kuniuliza but tufanye wamekufa na tumewazika.
 
Hao nilishawapuuza that’s why wanateseka kila wanionapo, kwanza mimi na wao ni mbingu na ardhi. Wamepauka njaa tupu zimewajaa zaidi ya kuzurula humu hawana jipya. πŸ—‘οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…