Lipo..Bibi harusi wewe pilau lipo ?
Kua makini Vincenzo Jr asikupokonye wote wanakaa karibu kigamboniπ₯°π₯° sasa hapa lazima arogwe mtu siwezi kubali pisi kama hii iniponyoke ..π₯°
Nnh πTabata?? Nitakuwa hapo.
Ukumbi gani Mwisho empire au christ the king???
ππππ Nifundishe jinsi ya kuombaSawa ila haiombwi hivyo
Mkuu πππhapana naroga penzi lako linipende sasahivi ndo nashika ile hirizi inayopumua ili nikugalegaze... ndoa yako sahau umeyatimba...π
Kumbe unatumia hiriziπhapana naroga penzi lako linipende sasahivi ndo nashika ile hirizi inayopumua ili nikugalegaze... ndoa yako sahau umeyatimba...π
kama ananguvu yakichawi aingie tupanbane kama hana akae pembeni alasivyo atakuwa msukule ajae!...πKua makini Vincenzo Jr asikupokonye wote wanakaa karibu kigamboni
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Naunga mkono hojaKua makini Vincenzo Jr asikupokonye wote wanakaa karibu kigamboni
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Kuna na ManyanzaKua makini Vincenzo Jr asikupokonye wote wanakaa karibu kigamboni
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Hahahaha...jiraniNaunga mkono hoja
Subiri niolewe ntakwambia utumie ninihaya natumia pesa yani QBKAXY imethibitishwa...π
Mkuu nipe mkono tushindane π€π€kama ananguvu yakichawi aingie tupanbane kama hana akae pembeni alasivyo atakuwa msukule ajae!...π