Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote kheri🤣🙏sasa si utakuwa mwekundu...🤣
Humu matani mengi😂Umeamua kuamisha majeshi ghafla 😁😁
Hahahahautauliwa wewe mapenzi sio kilimo siku 14 hata mbegu zishaota shauli yako...😅
Nacheka kama mazuriumedanganywa! ngoja ukatolewe kizazi...😂
Hahahahaitakuwa hiviView attachment 3035525
Kungwi tena??Ndio kwa mujibu WA kungwi wangu
Unafikir nilikuwa najua basi mi mwenzio mgeni wa haya mambo..
Ila huyu kungwi kanifumbua macho yani ni ana madini balaa
Uko wapi nije?Kungwi tena??
Ungekuja kwangu nikakupa maujanja
nimeshafika ngoja nianze ku pa- study 😁😁😁
Sijambo mzee wa hall 5. Weekend imeendaje. Mimi ndiyo naimalizia hapa sumbai
Pole, ni la mbeya ama njombeHili baridi sio mchezo..!_🥸
Nikitaka kukupea temp ndo wewe huniona wakiHili baridi sio mchezo..!_🥸