Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Lipo..Bibi harusi wewe pilau lipo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipo..Bibi harusi wewe pilau lipo ?
Kua makini Vincenzo Jr asikupokonye wote wanakaa karibu kigamboni🥰🥰 sasa hapa lazima arogwe mtu siwezi kubali pisi kama hii iniponyoke ..🥰
Nnh 😁Tabata?? Nitakuwa hapo.
Ukumbi gani Mwisho empire au christ the king???
😎😁😂😁 Nifundishe jinsi ya kuombaSawa ila haiombwi hivyo
Mkuu 😄😄😄hapana naroga penzi lako linipende sasahivi ndo nashika ile hirizi inayopumua ili nikugalegaze... ndoa yako sahau umeyatimba...😂
Kumbe unatumia hirizi💔hapana naroga penzi lako linipende sasahivi ndo nashika ile hirizi inayopumua ili nikugalegaze... ndoa yako sahau umeyatimba...😂
kama ananguvu yakichawi aingie tupanbane kama hana akae pembeni alasivyo atakuwa msukule ajae!...😂Kua makini Vincenzo Jr asikupokonye wote wanakaa karibu kigamboni
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Naunga mkono hojaKua makini Vincenzo Jr asikupokonye wote wanakaa karibu kigamboni
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Kuna na ManyanzaKua makini Vincenzo Jr asikupokonye wote wanakaa karibu kigamboni
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Hahahaha...jiraniNaunga mkono hoja
Subiri niolewe ntakwambia utumie ninihaya natumia pesa yani QBKAXY imethibitishwa...😉
Mkuu nipe mkono tushindane 🤝🤝kama ananguvu yakichawi aingie tupanbane kama hana akae pembeni alasivyo atakuwa msukule ajae!...😂