JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Kweli shule noma ndugu mmeona hi habari mwanafunzi kakataa shule na kumuandikia barua mwalimu mkuu..😂
Screenshot_20220224-155319.png
 
Najuta kuwa na dada mkorofi kiasi hichi!.. hata hivyo acha nikubali tu ndo dada huyo..😂

Sis Nina ka stori ka weekend iliyoisha nilikiumanisha kinyama!
Nini kilikupata tena..kijana mkorofi wewe jamani kha?
 
Back
Top Bottom