JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Hii itarahisisha kupata Pisi plus connection
Daah..😂..!! Yan kadri ninavozid kupanua(mawazo yangu) nipate concept humu ndan, rate ya kuchanganyikiw nayo inazidi kuongezeka … nilichogundua nikwamba ,, humu ni patam😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi umeshachangamkaa huu!! JF haipoi wala haiboii. Mweeeeeh!!"
 
Msela Roja nipo kazini kwa Kanjibai hapa anatumia sana hata muda wa kushika Simatifoni nakosa. Baadae
 
Back
Top Bottom