JF Chit: Chat hapa upate mchumba

Mimi mwenyewe nimemwona babe wangu anatafuta mchumba humu, ndio maana nimecheka, kumbe tupo wengi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ukiwa na babez humu ambae yupo active sana unaweza saga chupa 🀣🀣
 
Babe usiniambie nawe unatafuta mchumba😭😭😭😭
mCHUMBA wa nini bebe, wakati nakumiliki wewe mNYUMBA, tena ni mGHOROFA. 5 STARS kabisa, chombo certified by ISO. 😘😘😍
Kwako nikitaka mCHUMBA vipo vyumba vya kutosha, ventriko juu na chini na auriko juu na chini, nichague mimi pakujimwaga.
Sebuleni, nalala mapajani napata upepo wa maana.
Uwani, najipumzisha kwenye balcony napata sea view.
Jikoni ndio mahala pake, msosi umejitosheleza, chumvi ikipungua, nazama chumvini, table salt NaCl naipata kwa ulimi..

Basi tusiwape watu faida bebe wangu,
I love you, jamiiforum woote wanajua.
Nakala ya kukutongoza ipo kwa Maxence Melo
 
Mimi mwenyewe nimemwona babe wangu anatafuta mchumba humu, ndio maana nimecheka, kumbe tupo wengi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Kwahiyo kifo cha wengi harusi🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…