Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Nitaweza muhumi pesa bhna mm napenda pesa kuliko rais
Kijana mimi mpiga debe,utaweza hii kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mimi mpiga debe,utaweza hii kazi?
Nitajaribu hata mapenzi yako yakiniua itakua nimekufa kwaajili ya ninachokipendaJe utawezana? Maana hili ni fupa lililomshinda fisi
Gharama kubwa ya nn? Sasa we office unafunga saa 11/12, unazama lodge unanyonga mama ntilie masaa mawili matatu mnachomoka saa tatu hamna foleni ila ukitaka maeneo premium yapo Kuna kina Hong Kong hotel, butterfly n.kKutakuwa kuna UTI na wadudu walioshindikana maana kariakoo tu ni chafu sasa na hivyo vyumba vitakuwaje?
Hupendi tena bibi wa kizungu?Nitaweza muhumi pesa bhna mm napenda pesa kuliko rais
Haya ni mahaba kwa sauti ya lowasa mwendazakeNitajaribu hata mapenzi yako yakiniua itakua nimekufa kwaajili ya ninachokipenda
😂😂😂😄Haya ni mahaba kwa sauti ya lowasa mwendazake
Wakiwa wanatoa option ya kuweka temporary post ukishajibiwa unadelete post bas naweza nkajikaza😂nkalipiaJiunge kwa kulipia 100k ndio utaona privilege zake hivi ushawahi kuona premium member anakula Ban?
Hupendi tena bibi wa kizungu?
🥰🥰😂😂😂😄
😂😂😂siaminigi mtu mitaa ile huwa nafanya kilichonipeleka then huyo mbio,Gharama kubwa ya nn? Sasa we office unafunga saa 11/12, unazama lodge unanyonga mama ntilie masaa mawili matatu mnachomoka saa tatu hamna foleni ila ukitaka maeneo premium yapo Kuna kina Hong Kong hotel, butterfly n.k
Hata na hivo kama we ni wa kuja na kusepa inakua vizuri ukawa focused, ila wazoefu wa mule wanajuana😂😂😂siaminigi mtu mitaa ile huwa nafanya kilichonipeleka then huyo mbio,
wanaopatana huko wanawezana
Niko poa kabisa. Ukipata utujulishe familia🤣Nimefika bila kukosa!
Vp lkn unaendeleaje?]
Humu nkikuondoa ww sioni dalili ya kupata mwali kabisaNiko poa kabisa. Ukipata utujulishe familia🤣
Na hapo ndipo unapokwamia🤣Humu nkikuondoa ww sioni dalili ya kupata mwali kabisa
Hahaha sawa! Nipe kama 1 hour na 40 minutes or 2 hours hivi nitakuwa tayari nimemaliza kupiga debe na kurejea mapumzikoni.Ahahhhaah sawa mm nimeridhika
Kumbe hapa ndipo unapokwamia totoo🙆🙆Gharama kubwa ya nn? Sasa we office unafunga saa 11/12, unazama lodge unanyonga mama ntilie masaa mawili matatu mnachomoka saa tatu hamna foleni ila ukitaka maeneo premium yapo Kuna kina Hong Kong hotel, butterfly n.k
Turudi kwenye utaratibu wa awali wa kutafutiwa mke la sivyo ntakufa single....hii ratiba ya kugara gara kitandani jioni na alfajiri ngumu sanaNa hapo ndipo unapokwamia🤣
Unagara gara na mama ntilie🤣🤣🤣Turudi kwenye utaratibu wa awali wa kutafutiwa mke la sivyo ntakufa single....hii ratiba ya kugara gara kitandani jioni na alfajiri ngumu sana
Hahaha sawa! Nipe kama 1 hour na 40 minutes or 2 hours hivi nitakuwa tayari nimemaliza kupiga debe na kurejea mapumzikoni.ngu
😂😂😂Kumbe hapa ndipo unapokwamia totoo🙆🙆