Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua utasisitiza ulaji baada ya mlo kumbe we unawaza kula😁Yeah kweli! Bora umuoe tu unywe supu ya samaki na ndizi kila siku😋
Mmmh tena yule anaonekana yupo vizuri kwenye mapishi yoteNikajua utasisitiza ulaji baada ya mlo kumbe we unawaza kula😁
Mpaji Mungu huu wimbo haukuhusu , tayari mwenye ubavu wako kashajitokeza
View: https://youtu.be/_PCleon7cSM?si=OTqowvqZbIxiSoo9
Mfano kama tungekutana kwenye mtandao tofauti na JF, unayemsemea ningejitosa haki ya MunguMmmh tena yule anaonekana yupo vizuri kwenye mapishi yote
Kua muangalifu na kitambi
92KJ Ngere NgereeHii kauli ilindwe na makomandoo wa JWTZ isije ikapotea
😂😂😂😂😂😂Babe usiniambie nawe unatafuta mchumba😭😭😭😭
oya weeeeee tumchangie basi😂Unaona sasa Mpaji Mungu ? Kumbe mchawi ni falangaaa ???
Oi Mwanetu Ms R , Mwanao miyeyusho sana anasema Atoto ni sister ake kumbe kinachotakiwa ni rupiaaa zipenye kuondoa udhia 🤣🤣🤣
Weka Mkeka tumchangie aisee 😅😅😅oya weeeeee tumchangie basi😂
First of all,,ukue mchumba angu wa online tafadhal 😂 😂 Mpaji Mungu njoo uone navokataliwa live na nmejitutumuaWeka Mkeka tumchangie aisee 😅😅😅
Yalete hapa twende kaziUtaweza masharti yangu?
Kwanza badilisha jina uitwe Mrs ManyanzaYalete hapa twende kazi
Haya ngoja nijaribu bahati yangu.Hii ni thread maalumu kabisa kwa wale ambao wako single na wanataka better half, pole pole mjuane. Huwezi jua umepangiwa utakutana nae vipi
Walio kwenye relationship nyie tulieni acheni wenzenu wapate nao wafaidi mema ya nchi.
Hahahaha 😂 😂,, kwenye password mbona kama unanikomoaKwanza badilisha jina uitwe Mrs Manyanza
Pili unipe password yako ya humu 🤨
😂😂😂😂 Jamani hayupo seriously huyu Atoto huwa tunataniana tuu sio kwamba kweli mi ni totooCc Totoo Poor Brain
We dogo Bichwaaa ulipotelea wapi.... 😂😂😂😂iiiih totoo nawewe unajikataa
nilkua napumua tu nje huko😂😂We dogo Bichwaaa ulipotelea wapi.... 😂😂😂😂