Bonsipele69
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 364
- 915
π€£π€£π€£πChaguaneni, ila ikitokea mtu anahitaji ndugu wa kukodi ili aende nao ukweni, Niko hapa ποΈ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila lenye kheri, ila kuweni makini msije chumbiana waume kwa waume. JF wanawake hawazidi 21 [emoji849]
Hellow there, thank you so much for the love, this has been appreciated like a lot, stay blessed..!!Msemakweli ni mpenzi wa Mungu ,
Mimi kuna wanawake watatu humu jf ambao kama nabahatika kuonana nao, nipo tayari kuoa mmoja wao kwa maana wana sifa za kunifaa japo Avatar zao zimenivutia - wawili, mmoja nimevutiwa na muandiko wake.
NUMBER ONE: Carleen
Huyu mwanamke ananivuruga akili yangu sana tena. Anaonekana ni mtu mwenye hofu ya Mungu, lakini pia ni mwanamke wa kisasa - anaekwenda na wakati .
Lakini pia Avatar yake inanifanya nizidi kuchanganyikiwa hofu yangu ni kuwa huenda tayari ana mume au familia tayari but siachi kumzimia na nipo ready to establish a stable and good family with her. Please Carleen pokea huo ujumbe wangu
Hellow there, thank you so much for the love, this has been appreciated like a lot, stay blessed..!!
nilijua huwezi pitia comment moja moja mahi diha,,Hiyo bi mkubwa imenichekesha sana, ahsante kwa tag my love..!! Sikuwa hata nimeona..!!
Lamomy acha usenge basi mi nimeshaolewa.Poor Brain sijaona ukimtaja mwandani wako BICHWA KOMWE -
Utani tu lazima wakuheshimuπ€£π€£π€£π€£ Mungu wanguπ€
ππnilijua huwezi pitia comment moja moja mahi diha,,
Haya weee mtaje hvo hvo mi simo si unamjua lakiniPoor Brain sijaona ukimtaja mwandani wako BICHWA KOMWE -
Evelyn Salt ,huyu humdanganyi kitu coz threesome amefanya sana, sasa hivi naona kaamua kutulia coz ameona hamna jipya hapa duniani!Kama ndio hivyo huyo atanifaa akuje kwangu au sijui nimtokee tu kiainaa