JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

Msemakweli ni mpenzi wa Mungu ,
Mimi kuna wanawake watatu humu jf ambao kama nabahatika kuonana nao, nipo tayari kuoa mmoja wao kwa maana wana sifa za kunifaa japo Avatar zao zimenivutia - wawili, mmoja nimevutiwa na muandiko wake.
NUMBER ONE: Carleen
Huyu mwanamke ananivuruga akili yangu sana tena. Anaonekana ni mtu mwenye hofu ya Mungu, lakini pia ni mwanamke wa kisasa - anaekwenda na wakati .

Lakini pia Avatar yake inanifanya nizidi kuchanganyikiwa hofu yangu ni kuwa huenda tayari ana mume au familia tayari but siachi kumzimia na nipo ready to establish a stable and good family with her. Please Carleen pokea huo ujumbe wangu
Hellow there, thank you so much for the love, this has been appreciated like a lot, stay blessed..!!
 
Yani hamna hata mmoja amenitag! Wakati nipo serious natafuta wa kuoa
 
Back
Top Bottom