JF Connect: Ni Mwana JF yupi ungependa kukutana nae?

Huyo wa kwako mnaamuaga kutuburudisha humu

Wa kwangu mie wallah sitawataja 🤣
Mniue lakini sitajiii
😹😹😹 Kweli tunakuwa tumetibuana..!!

Puliiizz naomba mtaje, natamani kumjua huyo jamaa mwenye bahati ya kusumbua kichwa chako mahi…!! 🤣
 
au sio mzee wa kujipakulia minyama...
 
Nimeshapachoka hapo wewe kila mtoko Rotana..?nipeleke Aya Sophia nikapigwe upepo huku namlisha twiga na pundamilia nafaka😂
Kumbe ndio unapo enda kuzagamuliana 🤣🤣🤣
Haya tutaenda sophia
 
Mbona ata wewe umepinda 🤣🤣🤣🤣
Njoo hapa rotana utanikuta nagonga breakfast na shangazi Lamomy
Kwahiyo mimi na wewe tayari tushaonana 😹😹😹
Ila mzabzab wewe utakua unaniota sio bure..!! 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…