Mi nitakufata ofisini kwako uninunulie kashata.
Serious kaka
Karibu sana Binti, usisahau kuna na jamvi lako mwenyewe maana kibaraza kiko full booked this week, wiki hii kibaraza kinajadili sakata la gesi ya Mtwara, tumeacha kwanza mambo ya mpira..........LOL
Nawakumbusha wale wote watakaotuma tigo pesa au mpesa.
Jamani mtume 21,000 si mnajua kuna ile buku ya kukatwa.
Siyo mambo yenu ya kutuma 20,000 muwacheeeeeee maana akitoa anatoa 19,000 mtampa kazi Mtambuzi kuwaongezea buku buku
natafuta vijana wawili wa kuwatolea...........sifa kuu wawe mabaunsa ili nikitepeta wanibebage maana na hizi kilo nahitaji sana msaada! Nimeagiza Dompo 3 katoni nzima from kiwandani -zinatumwa kwenye Shabiby ile Nakshi Nakshi!!!
It was just kidding my sissy...
Mbona hasira hivoo, karibu sana kwa mikono miwili bi dada, hiki kibaraza cha woteeee.....
atumiage eatel-mane banaaaa ya nini kujiumiza kichwa??!?!? amu shosti eti saluni gani wanasuka vizuri yeboyebo?!? nataka kusukia nichangaye nyeusi na broken white!
Paloma best usichanganye bwana we suka yeboyebo white halafu piga full kadress white viatu white rangi za kucha white.
Viatu nakushauri simple ili ukianza kuyumba zikupe balance.,,
utapendeza sana utakuwa kama malaika white from hair to shoes...
Usisahau na clutch white...
watu8 changamkia offer hiyo kwa paloma
atumiage eatel-mane banaaaa ya nini kujiumiza kichwa??!?!? amu shosti eti saluni gani wanasuka vizuri yeboyebo?!? nataka kusukia nichangaye nyeusi na broken white!
ooooh mama.......huyu tenaaaa..............mweeeeeeh....kwani atafanyaje...........kama nataka kulipiwa si nayeye aseme tuuu?!?!?
hahahahhaaaaaaaaaa haya sichanganyi but mie ntapiga broken white banaa........ila clutch hata sitawezakuibeba nkianza kutepeta au labda Ruttashobolwa anisaidie.... amu unipelekage shopping sasa.....