hela atoe wapi ya mchango tu kaenda kukopa
Shem mbona unampiga madongo kaka yangu?
kwani hata humu unamuona anajifanya mpapaa eti kaenda kutafuta pafyumu
gudnight Filipo
shati lenyewe shati la shule uwiiiii tomato ...
Asprin umeshatafuta tomato lako??
Na wewe Ruttashobolwa
watu8 jana nlimuona karume akitafuta shati lake la tomato.
ANGALIZO:Wote mtakaovaa mashati ya tomato msile mchuzi kabla ya tukio a chilisosi
wife mtarajiwa hebu fanya fanya mambo na mm ning'ae
Ehe kumbe hatujaonana??.....dah!haya mapenzi ya digitali hatare kwelikweli!asante sana ,HERI YA MWAKA MPYA
Ehe kumbe hatujaonana??.....dah!haya mapenzi ya digitali hatare kwelikweli!
jamani watu wote naombamumuamin Mtambuzi. hii nawambia wale wageni wasio mjua au wanao hofia elfu mbili mbili zao kumi. watu wa dar tunamjua kwa sura, umbo na sauti hadi kwa mama ngina. so msihofu kabisa. naamin Adrian Stepp hatakua na kipindi bila shaka atatujoin. karibuni sana. mia
Vp kitimoto kitakuwepo?