JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

zinanyie kazi hizo resolutions!
hani hajambo anakusalimu....nlisharudi ila mhhh mwaya tamaa haijesha badooo!!!!
tuombe M.Mungu atupe uhai tuwe sote hapo Kebbys!
Thanks and ameen Mungu atatujaalia..
Ila niazime gauni jeupe mwenzio na viatu vyeupe
 
Asante.. mbona Heri ya miaka miwili? Erickb52 anajua nilikua wapi..

Shem wa zamani (kuna shem mpya ujue),
hebu subiri kwa hiyo alikua anatudanganya au wewe ndio unatudanganya!!!....maana kulipitishwa rokoo hapa ya kukusaka na iliongozwa na Erickb52 mwenyewe kwa msaada wa rada za watu8...

Msako wa Amyner....
Ni mimi tu kukuletea habari ni mimi tu!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…