lakini kila mtu kwa wakati wake. huyo sijui ndo Filipo hanitishi, kama vipi ntakuchukua kwa lazima kama vipi ajinyonge kwa kamasi. kama vipi akubali kuwa mume mwenza. ubabe ubabe. mia
What a wrong request! Utakaa sana Mkuu!
atakua na figganigga. mia
chezeya amu weye?. mia
Unikome we mtoto wa kiume wasikia weye?
Utajiju wewe hovyoooooooHahahaaaa utajiju meeeen!
heshima yako mkuu. mia
Utajiju wewe hovyooooooo
Hahahaaaa utajiju meeeen!
ikurudie na wewe pia mkuu, umeadimika sana kama mkojo wa kuku, itabidi kebby tuonane mapema kuweka uchakavu kichwani kabla
wewe njoo mapema. utanikuta hongera bar nacheza pool. mia
Utajiju wewe hovyooooooo
hakujui nini!!?...mpashe mpashe huyo...hahahahaaaaa....!!!. mademu na mikwara yao mbuzi..!. utaipenda. mia
mtoto mmbea balaa uliulizwa au unataka kunibania kwa mzee wa mia