members wengi wa Dar ni waoga. Hawajiamini..Mtambuzi more advertisements are needed, kwa kweli bado una list ndogo sana, ongea na mods waweke hili tangazo kwenye majukwaa mengine pia.
aaaah wapi, wengi ni watu wazima, tunaona hiyo party kama imekaa kitoto hivi!!!members wengi wa Dar ni waoga. Hawajiamini..
aaaah wapi, wengi ni watu wazima, tunaona hiyo party kama imekaa kitoto hivi!!!
aaaah wapi, wengi ni watu wazima, tunaona hiyo party kama imekaa kitoto hivi!!!
aaaah wapi, wengi ni watu wazima, tunaona hiyo party kama imekaa kitoto hivi!!!
uoga na kutojiamini haijaanzia kwenye party hii tu. Hata kwenye ishu nyngne bdo watu ni waoga.. Hata msiban ni ishu kuhudhuria..aaaah wapi, wengi ni watu wazima, tunaona hiyo party kama imekaa kitoto hivi!!!
hahahahaha....huko mi simo!! Natamani sana hiyo tar 26 nijaribu tu kuchunguliaUkizingatia sura zenu zinatisha saana watoto ...LOL...
Hivi humu chit chat wengi ni CDM eeh!!we sema wengi ni ccm na labda mnaona party imekaa ki cdm hivi!!! Hah hah hah hah hah!!!
Mi nitalipia mlangoni....nataka nijue kwanza ni watu wa aina gani watakuwepo!!Rejao mtu mzima mwenzio nimelipa twende bana.
Cantalisia nimemfungia kabsaaa.....sitaki kabisa aharibiwe na watu humu!When the going get tough....hahahah
Kiongozi vipi tena??? Cantalisia naye atakuwepo bhanaaa!!!
Hapo sasa ndio ujue kuna something wrong na JF members!! Wanaona raha tu kumention each other kwenye posts mbali mbali, but likija suala nyeti wote wanakimbia. So tukiitana humu ndani wanafiki naona tutakuwa tumejitendea hakiuoga na kutojiamini haijaanzia kwenye party hii tu. Hata kwenye ishu nyngne bdo watu ni waoga.. Hata msiban ni ishu kuhudhuria..
Hapo sasa ndio ujue kuna something wrong na JF members!! Wanaona raha tu kumention each other kwenye posts mbali mbali, but likija suala nyeti wote wanakimbia. So tukiitana humu ndani wanafiki naona tutakuwa tumejitendea haki

Dar moja CC moja peleka muchango yako, leo ni deadline
Dar moja CC moja peleka muchango yako, leo ni deadline