JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Mkuu Fidel80 vipi? Mbona sikuoni
karibu white party!
 
Last edited by a moderator:
Mwl mwaJ karibu kwenye sherehe nyeupe, usimsahau na Ennie!
 
Last edited by a moderator:
Nasikitika sitaweza kuja japo nilipania sana.

oops!!...yule mwanao bado hajakua tu mpendwa?? unaweza kuja naye tu kutakua na nannies around kuprovide cover!!
 
oops!!...yule mwanao bado hajakua tu mpendwa?? unaweza kuja naye tu kutakua na nannies around kuprovide cover!!

Ha ha ha haaaaaa! Mtoto kakua wala hasumbui huyo. Tatizo majukumu ya kitaifa! Si mnaona wenyewe maandamano kila kukicha?
 
Ha ha ha haaaaaa! Mtoto kakua wala hasumbui huyo. Tatizo majukumu ya kitaifa! Si mnaona wenyewe maandamano kila kukicha?

Yaani bado namini unaweza kuja dear...please fanya fanya uje jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…