JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Tuko pamoja my contribution on 16 jan will be on your hands,thanks.

wakupokea tarehe 15 utawajua tu looo...
Patamu zikicheleweshwa lol....
Kama vipi we changamkia offer ya Paloma
 
Last edited by a moderator:
hatutaki wanasiasa hapa tafuteni na nyie SIASA WING YENU

we chiboko umempa makavu live...
Mie mwenzako nlikosa jibu la kumpa ila huyu atakuja kwa id nyingine chezea hapa weyeeee
Ritz utajibebaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha! umenichekesha sana kaka Mtambuzi, kwa hiyo kuna single room tu? hakuna Double Loh! Acha uchoyo,

Ila hiyo part tuombe Mungu naomba nisiikose, nitakutumia pesa kaka yangu usijali tupo pamoja
 
wakupokea tarehe 15 utawajua tu looo...
Patamu zikicheleweshwa lol....
Kama vipi we changamkia offer ya Paloma

ofa ishaish animepata m'babu na kisharoboi tayari...........kasheshe sijapata fundi wa kunishonyea pensi nyanya nyeupe.......
 
Njoo bana unywe kahawa kwanza..............
Mkuu niko tight leo kama Skin Jinzi ya Madame B........................LOL

Kahawa nitakuja tu..ngoja hili joto la dar lipungue kaka!

Basi nitalifanyia upembuzi yakinifu ili nipate utatuzi juu ya hilo.
amu naona unajishauaaaa...i guess unatafuta wa kumwomba akulipie!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kahawa nitakuja tu..ngoja hili joto la dar lipungue kaka!

Basi nitalifanyia upembuzi yakinifu ili nipate utatuzi juu ya hilo.
amu naona unajishauaaaa...i guess unatafuta wa kumwomba akulipie!!!!

umejuaje best???yaani nimevunja kibubu kumbe hata 20,000 hazijatimia mia mbili zipo 44 jumla 8800..
Mia mia zipo 22 jumla 2200
hamsini hamsini zipo 20 jumla 1000..ukijumlisha hata 20,000 hazijafika yaani sijui itakuwaje eti Mtambuzi unapokea hizo coins???
Nikuletee hata nusu nusu nitamalizia getini??
 
Last edited by a moderator:
Jamani mwenye suruali nyeupe aniazime shati ninalo kasoro tu suruali

shati lenyewe shati la shule uwiiiii tomato ...
Asprin umeshatafuta tomato lako??
Na wewe Ruttashobolwa
watu8 jana nlimuona karume akitafuta shati lake la tomato.
ANGALIZO:Wote mtakaovaa mashati ya tomato msile mchuzi kabla ya tukio a chilisosi
 
Last edited by a moderator:
shati lenyewe shati la shule uwiiiii tomato ...
Asprin umeshatafuta tomato lako??
Na wewe Ruttashobolwa
watu8 jana nlimuona karume akitafuta shati lake la tomato.
ANGALIZO:Wote mtakaovaa mashati ya tomato msile mchuzi kabla ya tukio a chilisosi
Ahhh wapi? Mi sivai shela bana. vitu vyeupe mtatinga kina mama. Mi mjeda kama kawa ntatinga na tishet na jeans, kama vipi mtanitimua tu, hamna jinsi.
 
Mtambuzi heri ya mwaka mpya.
Kwanini isifanyike kwenye zile biashara za Mtambuzi au jirani na maeneo hayo hadi kwenda kukodi ukumbi.
Umeona eh? Kwenye ukumbi sijui ntawakatiaje mauno mabaamedi? Kina amu na Paloma masista duu hawatataka kukata mauno na babu yao ukumbini. Ntakosa burudani za mabaamedi asee:becky::becky::becky:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…