mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Where the party is at?
Hapo kwenye kaswida utakuwa umeugusa mtima wa mwanangu Kobazi.Mm n mwendo wa ngoma za misiba tuu 🔥
Nikibadili sana n ngoma za kaswida tuu, sichezi mbali na hapo
Yeah, katika Dunia ya leo lazima uwaite watu wanaojiweza bwana! Leo kazi ipo!Mbaya zaidi kataja matajiri watupu , mamamaeee
Nakula ngoma kali hapa ya nipe tano kwa daz mwalimuYeah, katika Dunia ya leo lazima uwaite watu wanaojiweza bwana! Leo kazi ipo!
"Nipe tano nami nikurusha mpaka kucheeee eehe...🎶🎵Nakula ngoma kali hapa ya nipe tano kwa daz mwalimu
Uhakika mkuu bila uwepo wako mkuu vaibu hamnaBila uwepo wa malaika mgawa utamu night club itadoda hii