are you a jf expert member? Ger auro of here men. Au utulie pale kwenye bench we will call u.Where the party is at?
are you a jf expert member? Ger auro of here men. Au utulie pale kwenye bench we will call u.Where the party is at?
Kila member aje na bango leny picha ya id yake kichwani, ili wengine tuzichape
Haina kukata hiiUhakika mkuu bila uwepo wako mkuu vaibu hamna
Yaani nikiona member fulan amewekag tuviatu, nina yeye 😂Utavuruga vibe
Kesho ni kaziLocation wapi vinywaji changamshi visikosekane
Mimi nikija kukutana na Lukas mwashambwa vita yake ni kubwa mnoYaani nikiona member fulan amewekag tuviatu, nina yeye 😂
wee nakuitia security au baunsa toroka haraka.Kesho ni kazi
mkuu achana naye tulewe zetuMimi nikija kukutana na Lukas mwashambwa vita yake ni kubwa mno
Hahaha unakaribia kufaMm n mwendo wa ngoma za misiba tuu 🔥
Nikibadili sana n ngoma za kaswida tuu, sichezi mbali na hapo
bro umetisha surely. Yaan badala tunywe wewe unataka tutwangane tena? Au zimeanza kushikaKila member aje na bango leny picha ya id yake kichwani, ili wengine tuzichape
haha kwanini?Mimi nikija kukutana na Lukas mwashambwa vita yake ni kubwa mno
Pambaneni sana wakati huu mpate katiba mpya.
Me nasema ukwel mkuu... Kuna watu wakionana lazim watwangane 😂bro umetisha surely. Yaan badala tunywe wewe unataka tutwangane tena? Au zimeanza kushika
Me nasema ukwel mkuu... Kuna watu wakionana lazim watwangane
Kila mtu atakufa kwa wakati wake, hakuna haja ya kugombania 😂Hahaha unakaribia kufa
HahaKila mtu atakufa kwa wakati wake, hakuna haja ya kugombania 😂
huyo mtu mimi tangu ile siku ya kauli ya guest house na nida sijamuona tena. Kumbe kakera wengiMimi nikija kukutana na Lukas mwashambwa vita yake ni kubwa mno
nakubali sana ayatollahHapo kwenye kaswida utakuwa umeugusa mtima wa mwanangu Kobazi.
🤝nakubali sana ayatollah
Ile njemba haijitambui hata kidogo halafu Ina kera mbayaH
haha kwanini?