Kuna hizi meza za epoxy resin
Kuna watu wanatengeneza Dar Ila nilikuwa naperuzi nikawaona kwenye mtandao.
Sijui wanauza bei gani
Kama hii View attachment 3451522
Kwa kweliImeandikwa ya Kaisari mpe Kaisari....
Ya duniani tafuta, tumia na yafurahie hapahapa duniani....
Vitu vizuri vimewekwa kufurahisha nafsi moyo na mwili....
Yeyote anayepata uwezo, nafasi na namna ya kuwa na vitu vizuri, fanya....
Ulimwengu tunauendea baada ya maisha haya ni sintofahamu....
Hiyo meza ni nzuri, yavutia kila ukijumuika na familia kwa mlo unaskia burudiko.