JF-get together party Disemba 2018

Aisee! Ukistaajabu ya Mussa utayana ya Shunie

Ila hiyo siku naamini utakuwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Shem nacheka mm ujue jf hii usiichukulie serious watu hata kujuana hatujuani tutaongea zaidi kule nyumbani kwetu
 
Yaani kama kila mtu anakunywa vinywaji vya elfu 20 si unajua pombe ghali.. Dear na sisi tunabanana tunywe zetu soda za elfu 20.
Usisahau kuja na pochi ya kuhifadhi nyingine
Hilo jibu hilooo...watuwekee na mishikaki yetu pembeni tena kama inawezekanaa...na chips kabisaa!!LA sivyo watatupunja hawaa..waleviii..hahahaaa
 
Maoni kama haya ya kujazia penye upungufu ndo nayahitaji.

Mkuu Don Clericuzio kwa maelezo ya jinsi ya kuchangia pesa za ziada njoo Pm kwangu au kwa Mzigua90 au piga namba hiyo hapo juu

Hujanielewa Madame, I mean nisije nikitegemea kulewa kwa 30,000/- kumbe ni za kushtua tu, kwa hiyo niijue nije na kiasi gani cha kujiongezea mwenyewe.

Kuna watu wakitoa michango wanataka kukomoa, natoa 30,000/- nataka bia 10 na msosi wa kushiba.

Ufafanuzi uwe mapema, "Buyer be aware".
 
Unadhani nachukulia serious basi alafu sio wewe kuna mwingine nawaona wamegandana kumbe mmoja wao namjua namchora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…