JF-get together party Disemba 2018

Yaani kama kila mtu anakunywa vinywaji vya elfu 20 si unajua pombe ghali.. Dear na sisi tunabanana tunywe zetu soda za elfu 20.
Usisahau kuja na pochi ya kuhifadhi nyingine
Hilo jibu hilooo...watuwekee na mishikaki yetu pembeni tena kama inawezekanaa...na chips kabisaa!!LA sivyo watatupunja hawaa..waleviii..hahahaaa
Yaap sisi tusio walevi lazima tukomae ikiwezekana ata na soda Bonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwika pale sinza makaburini??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hao wala hawanisumbui.
Nawaona washamba tu.
Ukute hata Kariakoo au hapajui.
Afu siwezi jua...
Mtu anayebishana na mwanamke namuona kama vile basha, navaa nae pedi nikiwa hedhini

Madame acheni kuchafua hii plan, keep it in mind kwamba kwa kila jambo wapingaji wapo, usipoteneze energy ambayo ungeitumia kuweka mikakati kwa kuwajibu negative minded people.

Focus on the main issue please.

Mzigua90 take note of this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…