witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Huji shost?Wishing u all the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huji shost?Wishing u all the best
Nimekuchagulia utamu teyar.. Full enjoyment pale.. Unabaki kuchabo tu na kucheka ihiiiiiiiKunywa grandmalt ndiyo dalili ya kuanza kunywa pombe kweli siyo ubahili
Ukuje bwana kule shem tudiscuss vizuriHahaha!! Sawa tunaijenge tz ya viwanda kama mzee anavotaka
Tutashukuru kwa hiloNitawasaidia kupambana na negativity.
Naona unamtetea Patna wako mkww[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vice versa is true!!!
Yaani kama kila mtu anakunywa vinywaji vya elfu 20 si unajua pombe ghali.. Dear na sisi tunabanana tunywe zetu soda za elfu 20.
Usisahau kuja na pochi ya kuhifadhi nyingine
Hilo jibu hilooo...watuwekee na mishikaki yetu pembeni tena kama inawezekanaa...na chips kabisaa!!LA sivyo watatupunja hawaa..waleviii..hahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaap sisi tusio walevi lazima tukomae ikiwezekana ata na soda Bonge
Kabla ya kuondoka tutawakaguaYaani kama kila mtu anakunywa vinywaji vya elfu 20 si unajua pombe ghali.. Dear na sisi tunabanana tunywe zetu soda za elfu 20.
Usisahau kuja na pochi ya kuhifadhi nyingine
Unapenda ubuyu wewe, ngoja niongee na kwisa akupe ubalozi Wa shilawadu[emoji3]Ukuje bwana kule shem tudiscuss vizuri
NfyuuuuMm nikija huko nimeshalewa zangu tena usiku sana
Mwika pale sinza makaburini??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahah
Nimejua kwanini unatoa povu.
Ulitaka tuje Mwika.....hahahhaha
Sasa kwa taarifa yako, party zote humu Jf nimeandaa mimi.
Kuanzia ya 1 mpaka ya 3.
Hakuna kilichoharibika wala kupotea.
Tafuta lingine aisee.
Ila sasa, paka, zomea, tukana, laumu hadi ukitaka kunnya hapa jukwaani kunnya tu.
Ila ndio hivo.
Ukija kijeuri nami nakujibu kijeuri.
Ukija kichoko nami nakujibu kichoko.
Sawa asanteNimekuchagulia utamu teyar.. Full enjoyment pale.. Unabaki kuchabo tu na kucheka ihiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ni hairuhusiwi.
Utajaza nyuki ukimbini wakijua ni maua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapenda ubuyu wewe, ngoja ongea na kwisa akupe ubalozi Wa shilawadu[emoji3]
Hao wala hawanisumbui.
Nawaona washamba tu.
Ukute hata Kariakoo au hapajui.
Afu siwezi jua...
Mtu anayebishana na mwanamke namuona kama vile basha, navaa nae pedi nikiwa hedhini
Ndio bestHuji shost?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulia wewe
Metamani hicho kiepeNjooon kwangu View attachment 866489
Unaona sasa.... Msitufanye hiyo siku tunywe pombe tuanze kuvua nguoKabla ya kuondoka tutawakagua