JF-get together party Disemba 2018

Chillax fella. We need ur opinions nd way forward not all this distracting abc
 
Hahahahhha
Ohhhhhhhh....nilijua umelala, karibu.
Ni rahisi na ndio maana tukaichagua.
Kila mtu aketi katika mstari wake shoga angu.
Haya...umeongea weeeee, umeshaukwa weeeeee.....umetongola weeeee.
Sema sasa, tupe hizo namba zako tano uwapigie misukule wako waandae.

Maana naona unakaukwa mate hapa jukwaani.
Cha maana unachoongea huna.
We sema unatangaza kazi yako inayokuweka mjini hapa.

Kama party ya kishamba, acha tusherehekee na washamba wenzangu.

Yaani wewe mchicha ni wa hovyo kabisa.
 
Ila mliuza sana maana ktk hot list couple 5 za jf nyie mlikua hamkosi

Ila jf ni zaidi ya nijuavyo
 
Bibie hiyo kazi nishaachana nayo mama.
Nilifanya baada ya kumaliza chuo, huku nikiendelea kutafuta professional yangu.

Of course ilinijengea marafiki na kujuana na watu wengi sana.

Huna kazi ya kunipa mama, party km hii ilikuwa kusaidiana na kuitengeneza iwe ya kisasa zaidi.
Sasa 1.5M unaniambia nataka kuwapiga, nawapigaje hapo?? Si laana tupu tu.

When I was there, nilikuwa nalipwa 700k net salary, lkn posho ya kusimamia sherehe tu ilikuwa 50k.

Na kumbi zetu inabidi ufanye booking miezi mitatu mbele.
Now ukienda harusi siku ya Jmosi utaambiwa nafasi ipo January huko

Naanzaje kusema hii party ni kazi??

Dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…